Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha.

Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo kasi ndani ya Miaka 7 tu. Je, ukopaji huu una maana gani kwenye uchumi wa Kenya?

Fuatilia zaidi kweye video hapa chini.

 
Huyo mdeni atupe jukumu watanzania tumdaie pesa yake, nauhakika hilo deni halitachukua hata mwezi watalipa
 
Kenya ni pimaaaaa pimaa pimaaaaa pimaa
Halafu pia
Kenya ni kopaaa kopa kopaa kopaa, kopa kwa huyu, lipa kwa yule, kopa bond, lipa deni lilee. Kopa hela ili kulipa deni.
Uhuruto wanajua mchezo mzima. Ndo maana wanakimbilia BBI wamiangushie jumba bovu Baba RAO 2022
 
MCAs kwenye kaunti wanasafiri nje ya nchi kwa mashindano. Hawa wakienda Australia Hawa wanaenda Japan
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom