Denda kwa staili ya sarakasi...

halafu mwanaume huna six pack.......hujajazia....au una kitambi......mweeee.....
hebu niende zangu gym mie sa hizi..........

Ni huo urefu au six packs? Mbona hakuna dalili ya six pack hapo...kama six packs hata Diamond anazo kila upande,lol!
 
Ni huo urefu au six packs? Mbona hakuna dalili ya six pack hapo...kama six packs hata Diamond anazo kila upande,lol!

sasa huyo alivyo atakosa six pack kweli.......? hivi zile zako bado zipo.........?
 
sasa huyo alivyo atakosa six pack kweli.......? hivi zile zako bado zipo.........?

Zakwangu bado zipo tena zimetaka sio mchezo....huyo jamaa nashaka naye...ila nasikia watu warefu deal...labda iwe biashara hiyo
 

Wivu sina ila roho inauma....!!
 
Hivi visi vya kupigia picha jamani wala havipo kiualisia, msijeiga ohoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…