Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.
Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???
Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.
I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.
Regards
DA

how you will beat your kondoo mchungaji in case..............deviations....Na hii tena! Nikama unafurahia......hapo umejiwekea bango kubwa kabisa!
Hahahahahahahah lolmimi natamani ningekuwa huyo Dena.
sred unazoanzishiwa si kwa ubaya so kupendwa raha dear
Niliona srd ya Marytina aliyoanzishiwa iliyokuwa inampongeza mod kwa kunilisha BAN-vipi ungepata sred tatu kama hizi.
Personally nitakuanzishia sredi karibuni chukia na uchukie ,ebo vizuri huvijui?
how you will beat your kondoo mchungaji in case..............deviations....
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.
Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???
Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.
I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.
Regards
DA
the head of diplomatic mission in my brain ameelewa and hayuko tayari kuona nikifanya hilo.Yeah! Umefika wapi na Zeru zeru wa kizungu?