Wapendwa wanajamvi
Ninaomba tujumuike pamoja na dada etu Dena Amsi katika kumfariji kwa kumpoteza Bibi yake Mzaa Babake, aliyefariki jana Dar Es Salaam. Msiba upo Binju A shuleni.
Pole Dada mlimpenda Bibi lakini MUNGU amempenda zaidi. Yeye alitoa na ni Yeye aliyetwaa, JINA lake lihimidiwe. Amen