Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana
My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa
Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR
Baba V tabia yako ya kwenda jela kila siku utakuta mpaka Mama v nae kashaolewa na mwingine maana sheria inasema kama mume akipelekwa lupango kwa muda mrefu mke anaruhusiwa kuolewa we endelea kuchezea lupango uone rangi kama hata na Mama v hutamkosaNyambaaf sana dogo, awali ya yote hiyo ndoa yenu aliiidhinisha nani!?
Filipo mi sio penda penda bana penda penda anayefahamika sana ni Vin Diesel na Erickb52Huyu jamaa ni penda penda sana! Hata Dena Amsi amevumilia sana!!!!?
Nyambaaf sana dogo, awali ya yote hiyo ndoa yenu aliiidhinisha nani!?
watu8 hivi nikitaka kuoa lazima niutangazie umma wakati mimi na wife wangu Mamndenyi ndo tunaamuaNa mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo...!!!:A S 39:
Huyu jamaa ni penda penda sana! Hata Dena Amsi amevumilia sana!!!!?