Kumbe, nilikuwa sijui. Ila kumbuka kila mwenye sehemu ya haja kubwa, anaweza akawa hivyo.... kwa hiyo kama nawe unalo jiangalie.....ms.enge wewe
Inahitaji akili ya mwendawazimu kufanya hivyo...hoja ambazo ni unlogic huwa natupia ......
Hapo simba na yanga wote wanapiga hesabu za kupata hela kwa ajili ya kutumia. Tofauti wewe unatafuta kwa kubeba zege na yeye anatafuta kwa kubeba mwili wa mtu. Ngoma drooo
muulize mama
Naomba unielewe vizuri; kila mtu anatafuta fedha kwa ajili ya kujikimu. Kuna wanaotafuta fedha kwa kuuza madawa n.k. Kuna wanaotafuta fedha kwa kukaba na baada ya kuzipata wanazinunulia madawa na baada ya pale wanakuwa miteja. Kuna sie ambao tunabeba mazege mitaani hata kukusanya uchafu mitaani ili mkono uende kinywani. Tukipata hiyo fedha tunatumia kununua pombe na kulewa, gongo likitelemka tunatafuta mabibi kwa kuwarubuni na visenti tulivyovitolea jasho kutwa nzima. Hii ni muhimu kwa vile wenye vilabu nao wanatafuta pesa kwa kuuza vileo. Sasa basi kuna akinamama nao mtaji wao ni shamba la bibi. Hivyo usipompa fedha hata ashki haipandi. Ukimpa elfu 20 unafurahi mpaka anakueleza kuwa mpenzi njoo nami nikufurahishe. Kwake furaha ni kupata fedha tu kwa matumizi yake mengine ambayo si ajabu ni kujenga ili sie tupate kumwaga zege (Mzunguko wa ngawira). Hivyo kama hutampa fedha mapenzi yanapotelea hewani.Je anapokuja juu, kakubeba au umembeba? Mi naona mademu ni maparasite tu na hata awe na hela hawezi kulipa bili ya 1400/- za soda mlokunywa, na tatizo lingine hatosheki si kwa KUMPAKUA sana na hata pesa ukimpa atataka za Jafari, Tony, Juma n.k, Siwaelewagi kwakweli, sijui ni pepo au ndio ile methali ya kitaa isemayo K haijai ndio kila kitu hawatosheki. Hapa nawatoa wale wachacheee ka 1% ambao wanaridhika na kila kitu ila 99% ni feki, Na hii inawafanya wamegwe na kuachwa na wanaume nao hawataki permanent relationship, uanaita HIT AND RUN.