demu

demu

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
sijui wamaakili gani yaani kidume unapiga hesabu ya kutafuta hela yeye ( demu) anapiga hesabu za kula hiyo hela yako na si kutafuta kama issue ni kungonolewa mbona raha tunahisi wote acheni ujinga bwana.
 
Mbona unataka kukimbia majukumu yako sasa kaka? Iliumbwa hivyo, wewe utafute yeye atafune kama hutaki acha kutafuta usubiri na wewe kutumia ya mwingine. Ni nature hiyo mkuu haikwepeki, wanaume wanahangaika ili kuwatafutia kina mama na watoto fullstop!
 
nani anayemtafuta mwenzake, tatizo lako unamwendea mwanamke huku umeshika pesa mkononi au ukute domo zege lililo na concrete ya 5kg huku unatoka udenda, lazima ulipie huduma
 
we boya nini?
 
Yale ni mambo ya hiari ambayo hakuna anayelazimishwa kuyafanya isipokuwa kwa utashi, hamu, mapenzi au tamaa yake. yaani ni kama pombe dukani kama huiwezi usiinywe isije kukulevya.
 
yaani hapa utaajua tu nani shrobalo nani sio,kwa topik zao..
 
sijui wamaakili gani yaani kidume unapiga hesabu ya kutafuta hela yeye ( demu) anapiga hesabu za kula hiyo hela yako na si kutafuta kama issue ni kungonolewa mbona raha tunahisi wote acheni ujinga bwana.
Hapo simba na yanga wote wanapiga hesabu za kupata hela kwa ajili ya kutumia. Tofauti wewe unatafuta kwa kubeba zege na yeye anatafuta kwa kubeba mwili wa mtu. Ngoma drooo
 
sijui wamaakili gani yaani kidume unapiga hesabu ya kutafuta hela yeye ( demu) anapiga hesabu za kula hiyo hela yako na si kutafuta kama issue ni kungonolewa mbona raha tunahisi wote acheni ujinga bwana.

Tafuta asiyependa hela wala matumizi!
 
sijui wamaakili gani yaani kidume unapiga hesabu ya kutafuta hela yeye ( demu) anapiga hesabu za kula hiyo hela yako na si kutafuta kama issue ni kungonolewa mbona raha tunahisi wote acheni ujinga bwana.

haahaahaaa! Utakuw mchaga wewe c bure! Hesabu had kwa dem wako dah cjui ukioa itakuwaj utakuw unaacha buku home! Yeethu na mariaa!
 
Lakini nachojua mm ni kwamba hawamkabi mtu,wewe mwenyewe unazipeleka kwa hiari yako,
 
Back
Top Bottom