weka salary slip hapa. sio unajimwambafy kumbe kinuka mkojo tu............kula kulala
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.

Nakuskikitikia demu wako na yeye atakuwa anasema hivyo hivyo huko alipo..