Demu wangu kaniibia buku 5


huyo ni kama yule wa Khantwe anayemlalamikia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/639028-atayaweza-majukumu-huyu-kweli.html
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha yani kweli demu umhudumie kila kitu afu aibe buku tano?
afu kama una uwezo wa kumhudumia kila kitu buku tano inaweza kuwa ishu hadi uitolee thread?
mmh kama kuna chai hapa....
hukujua nilikuwa nina hesabu nayo kivipi,kumhudumia kila kitu haimaaanishi niipuuze buku 5
 
jamani wakati mwingine muwe mnaficha dhiki na ujinga wenu. sasa wataka huku jamvini watu wafanyeje?
mnajaza server for nothing. kwani usiiweke hii ikawa status fb ili nako wakusaidie?
ipeleke wewe mkuu
 
mumeo kazi anayo!
 
Aaaah...Hizo mbona kidogo sana, Unamaana hata za lotion hukuwaunampa? Wacha aibu mkuu.
 
Mkuu pole, inaonekana hata wewe utakuwa na njaa.

Chukua hizi hapa upunguze machungu, usilielie...




TSHs 37000/=, zitamsaidia ila akienda kula kwa demu wake zitaisha baada ya siku3, demu anachua buku5 mwenyewe anaanza maisha na buku5.
 
Maniner i wish ningekuwa mm nfo huy dem wako ungejuta kunfahamu
 
sasa...we unamtetea mwizi?.....sawa kila kitu chake..ndo uhalali wa kumpiga mwana ndole?...afu nshaanza kuisi we mpigaji pia..huwezi tetea wizi hadharani!
 

wee nae acha ubahili buku tano uje kumdhalilisha nayo mtu jf?? fanya km uliidondosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…