assaniz
Member
- Oct 16, 2019
- 6
- 12
Jana nilibet nikashinda sh 35,000. Mida ya jioni nikaingia kitaa huku nikivimba, demu wangu si kaniona akaniomba sh 5000 kwa jeuri nikamgea sh 10000 huku natabasamu.
Dah uwezi kuamini alicho niambia "Eti oh baby unacheka kama Yesu " dah yani hadi now najiuliza hivi ni kweli nacheka kama Yesu au ndio uh upepo ulioingia mtaani.