Demu wangu kaniambia nacheka kama Yesu baada ya kumpatia pesa

Aisee Mimi juzi aliniambia nimefanana na bwana wake wa tandale, nikaishia kucheka cheka tu😂😂😂


"Vipi Mbona unashangaa Kuna tatizo mahali"😐😐😐
 
Lakini mkuu ungejaribu kufuatilia chimbuko lenu vizuri.. Sengine wewe ndo yesu labda!!😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom