Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Nilimpenda nimetoka nae mbali sana na tulikubaliana nikimaliza chuo nimuoe sasa jana usiku kafumaniwa je kuna love hapo?
kafumaniwa kivipi......ukimaliza kulia uje uandike Habari iliyonyooka....
Nilimpenda nimetoka nae mbali sana na tulikubaliana nkimalza chuo nimuoe sasa jana uck kafumaniwa je kuna love hapo?
Dah kiukwel nina majonz ila alitoka kwao uck akaenda kwa jamaa, wazaz na ndugu pamoja na mke ndo waliofanya hlo fumaniz
kafumaniwa kivipi......ukimaliza kulia uje uandike Habari iliyonyooka....
Ila?????Demu huwa hafumaniwi wewe...
ok nimeelewa...demu hafumaniwi ila ana Thubutu kukutwa!lolDemu huwa hafumaniwi wewe...
kafumaniwa kivipi......ukimaliza kulia uje uandike Habari iliyonyooka....
Nilimpenda nimetoka nae mbali sana na tulikubaliana nkimalza chuo nimuoe sasa jana uck kafumaniwa je kuna love hapo?