Demu wangu ana demu wake..

Wewe endelea kugonga wote c wapo huru kufanya hvyo ila ucwe na malengo kwa yoyote hapo,ukijckia unachukua unagonga!
 

Wee minya tu,
 
Kaka hapo hata sikushauri,
Maana demu wako nae akienda kumtembelea huyo mwenzake akakutwa anagongwa nae atajoin game tu.
 
Umejuaje kwamba ANASINGUIZIA na sio ukweli???????Wewe JE NI POMBE ZILIKUFANYA UKUBALI KU DO na wote?????????ulaumu moyo wako wala si wa mwenzako
 
Si ndio namshangaa huyu mtu! Ye apige tu ila huyo mwanamke asitegemee kumuoa itakuwa balaa!
Bondpost, hata huyo dada sidhani kama ana mpango wa long term nae
nadhani kama unampenda mwanaume na kumheshim, huwezi zusha 3S
 
Last edited by a moderator:
Tam sana iyo! Endelea kula mzigo ila, no future plans na huyo dem.
 
Uongo mwingine bana.
sasa braza unataka leta ligi za mwaka 2011..huyo dem alikua lesbian..and yes i did it and not proud of it
michezo mengine haihitaji hasira..ncheki nkupe namba yake bado tuna uhusianowa kirafiki
 
sasa braza unataka leta ligi za mwaka 2011..huyo dem alikua lesbian..and yes i did it and not proud of it
michezo mengine haihitaji hasira..ncheki nkupe namba yake bado tuna uhusianowa kirafiki
Haya hongera.
 
sasa unataka ushauri wa kufanya nini? unataka tukwambieje? au mimi ndie sielewi?
 
ndo matatizo hayo wakifukuzwa chuo wanang'aka
kuutwa kuangalia ma pornz ya threesome
 
ndo matatizo hayo wakifukuzwa chuo wanang'aka
kuutwa kuangalia ma pornz ya threesome
sasa hizo chuki binafsi..kama hukuhave fun ulivyokua chuo i feel sorry for you ndo mnatusumbuaga mitaani huku...yeah i was young and stupind now i have learnt my reason..au hujawahi sikia obama alikua anavuta bange chuo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…