Alilala na nani?
Anaitwa zamzam salim meena... ni kicheche fulani hivi mjini hapa
Acheni ushabwa watanzania. Ndio maana mtabakia hivi hivi umbea umbea tu.
Mimi ni funy wa mpira. Hakika pia Dada ni fani wa mpira.
Nani asiyefahamu Yaya toure ndie star muhimu wa Man City. Nani asiye tamani kupata pic na yaya?