Demu wa mtandao

Utatongozaje usichokiona kwa macho ya kawaida?
 
Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?

Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Vyovyote sawa ila tanguliza miamala
Kama hamna miamala iliyo enda kabla hujaonana nae itakuwa kazi kubwa sana kwako kumpata!
Miamala,miamala,miamala,usiwe mgumu kutuma
 
Vyovyote sawa ila tanguliza miamala
Kama hamna miamala iliyo enda kabla hujaonana nae itakuwa kazi kubwa sana kwako kumpata!
Miamala,miamala,miamala,usiwe mgumu kutuma
Sio kwa usawa huu wa 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…