Kweli tena. Kwa mimi sura sio kila kituha ha ha ha unaniongopea.
[emoji4]Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mfano akiwa na jicho moja na hana mawazo makubwa ya kimaisha ,hapo inakuwaje?yaani anachomiliki yeye ni kiuno tu.
Kiuno apeleke Twangakwa mfano akiwa na jicho moja na hana mawazo makubwa ya kimaisha ,hapo inakuwaje?yaani anachomiliki yeye ni kiuno tu.
ha ha ha ha ha,ndio maana kuna mmoja alileta lalamiko la kutelekezwa.Kwa hiyo kuna vitu mnavitathmini kwa me kabla ya se.x,na mojawapo kubwa zaidi ni uwezo wake kiuchumi.
Kiuchumi moja wapo ila kuna mengine piaha ha ha ha ha,ndio maana kuna mmoja alileta lalamiko la kutelekezwa.Kwa hiyo kuna vitu mnavitathmini kwa me kabla ya se.x,na mojawapo kubwa zaidi ni uwezo wake kiuchumi.
Nakubaliana nawe kwa sababu kila mmoja anaitaji maisha mazuri na...utamalizia.
Naamini utakuwa uko without..... hakunaga kupoteza muda[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nishakamata. Niko njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah cosovoYana sababisha kama yaliyotokea kwa cutielove na mwenzake sijui nani yule
Daah,, hongera mkuuMe nishawahi kumtongoza msichana mtandaoni na tukakubaliana humo humo kwenye social media.Siku niliyokutana naye ilikua nikulila tunda tu na nilifanikiwa kula mzigo bila tabu ingawa ilinichukua kama miezi miwili na kitu mpaka nakula tunda.Mpaka leo nipo nae kwenye mahusiano.
Daah,, hongera mkuu[/QUOTE
Shukrani mkuu
Siwajua situmiagi hiyoNaamini utakuwa uko without..... hakunaga kupoteza muda
Good sexNakubaliana nawe kwa sababu kila mmoja anaitaji maisha mazuri na...utamalizia.
Inakuwaje hiyo?
Najua ila nilihofia usije ukawa umekengeushwa na wanawake wa Dar
Ndiyo yanayosababisha watu wasafiri km 800 kufata papuchi wanafika kule wanaambiwa wakalale lodge peke yao.Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajitakia tuNdiyo yanayosababisha watu wasafiri km 800 kufata papuchi wanafika kule wanaambiwa wakalale lodge peke yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aseee mtu humjui hakujui unakuja kukutana nae unashindwa kuamini unachokiona mbele yako we unafikiri kinachofata n nini?
Vizingiti kama vyoteeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli aseee mtu humjui hakujui unakuja kukutana nae unashindwa kuamini unachokiona mbele yako we unafikiri kinachofata n nini?
Sent using Jamii Forums mobile app