Demu wa mtandao

Mpaka mmefahamiana kwenye mitandao tayari umeshatongozana kilichobaki kulaneni au nyimaneni kutongozana tena ya nini labda ka unataka kumuoa.
 
Demu wa mtandaoni nikimwelewa huwaga namtongoza kabla ya kuonana...

Ili siku tukipanga kuonana aje/tuonane akijua kabisa kuwa chochote chaweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anaanza kutongoza kabla hamjaonana ujue hajiamini kwenye kila sekta,
atakua hana kimo, hana sura, hana pesa yaani yupo yupo ila swaggs kama zote na "umekula baby kibaooo"
Anajua siku ya kuonana inabidi tu ujikaze mida iende.
 
Inategemea mtu na mtu,ila kama kila mmoja anajua muonekano wa mwenzake kwa picha/video n.k katika chatin zenu huko huko mnaweza kumalizana,na inapotokea siku ya kukutana mnafanya body test.
 
Inategemea mtu na mtu,ila kama kila mmoja anajua muonekano wa mwenzake kwa picha/video n.k katika chatin zenu huko huko mnaweza kumalizana,na inapotokea siku ya kukutana mnafanya body test.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo body test imenimaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?

Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Me nishawahi kumtongoza msichana mtandaoni na tukakubaliana humo humo kwenye social media.Siku niliyokutana naye ilikua nikulila tunda tu na nilifanikiwa kula mzigo bila tabu ingawa ilinichukua kama miezi miwili na kitu mpaka nakula tunda.Mpaka leo nipo nae kwenye mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…