Nimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana:
Yaani kila unapokutana naye au kumpigia simu kuwa yupo wapi au alikwenda wapi UTASIKIA NILIKWENDA/ NAKWENDA KWENYE MSIBA WA FULANI na ikitokea upo naye mnaongea halafu akapigiwa simu na rafiki yake utakuta lazima waongelee msiba wa fulani na fulani. Yaaani Mwaka mzima unakuta movement zake ni za hivyo.
Hakika kiimani na ubinadamu ni jambo jema sana na hawa ndugu zetu katika hili wanalizingatia sana.
Yaani wewe mpigie tu simu muulize upo wapi
Bibi mpenzi lala 😃Kufa kufaana.
Hivi kwanini mnapenda sana kuingilia life za watu?Bibi mpenzi lala 😃
Nipo nao huku kwao.
Achana na kupigiwa simu, ukikaa karibu na Mzaramo asilimia kubwa ya mazungumzo ni misiba kama siyo msiba basi shughuli.
Mzaramo kama mwenzake haendi kwenye shughuli yake basi huyu mwenzake akiwa na shughuli basi naye analipiza kutokwenda.
Kikubwa huku kwao ni misiba na inafululiza sana😭
Katika taaluma ya Maendeleo ya Jamii inasema vifo vya mara kwa mara kwenye jamii husika ni moja ya kiashiria cha umasikini.
Bibi samahani nimeshajibu👆👆😊
Hivi kwanini mnapenda sana kuingilia life za watu?
Jibu hoja au kaa kimya. Usiwavae waleta hoja.
Nimeshajibu BibiHivi kwanini mnapenda sana kuingilia life za watu?
Jibu hoja au kaa kimya. Usiwavae waleta hoja.
Wewe kama siyo mzaramo basi mluguru.Kufa kufaana.
Hawafai hawa na wenzao Wakwere, ni mavi yale yale tuNimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana:
Yaani kila unapokutana naye au kumpigia simu kuwa yupo wapi au alikwenda wapi UTASIKIA NILIKWENDA/ NAKWENDA KWENYE MSIBA WA FULANI na ikitokea upo naye mnaongea halafu akapigiwa simu na rafiki yake utakuta lazima waongelee msiba wa fulani na fulani. Yaaani Mwaka mzima unakuta movement zake ni za hivyo.
Hakika kiimani na ubinadamu ni jambo jema sana na hawa ndugu zetu katika hili wanalizingatia sana.
Yaani wewe mpigie tu simu muulize upo wapi
Kama kweli hiviHawafai hawa na wenzao Wakwere, ni mavi yale yale tu
😂Siku unakula mzigo unamuuliza vp umefika.? anajibu ndio nshafika msibani