Demu unatakiwa kuwa mshamba kiaina

Demu unatakiwa kuwa mshamba kiaina

Joined
Oct 26, 2017
Posts
42
Reaction score
113
DEMU ANATAKIWA KUWA MSHAMBA KIAINA......

Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?....
Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"
Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?".......
sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......
Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho....
inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa".....
Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."

Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?"..........
Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??
 
[/Wewe unampenda aina hiyo ya demu, mimi au mwingine anapenda wa aina nyingine, mfano mimi naweza kuwa napenda wanawake majasiri na wajuaji haswa usiowpenda wewe,hadi kuzalisha tembo wanazalisha]
 
DEMU ANATAKIWA KUWA MSHAMBA KIAINA......

Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?....
Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"
Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?".......
sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......
Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho....
inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa".....
Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."

Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?"..........
Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??
hahaaaa duuuhhh
hill sio demu mkuu
mimi mwenyewe 1st 12 ya Burnley siitambui duuhhh
 
unaogopa demu anayewajua THE CLARETS wa SEAN DYCHE kina Tarkowski,Ben Mee,Gudmundsson,Barnes,Defour,Hendrick,uyo namtaka Mimi tuangalie mpira huku kakalia!
 
Duuuuuhhhh, huyo atakuwa mshikaji wa magetoni sio demu, bora umkimbie
 
Demu anajua kubett ukiwa nae ndani utamsikia baby kama vp tucheze over first half hahahahaha
 
Kuna mwingine anayajua mambo ya siasa mpaka anakera atakwambia mara Chiligati na faili la Lowassa, mara membe na NIDA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom