Mtoto wa kitaa
Senior Member
- Nov 7, 2012
- 149
- 17
Wewe wa Kishua mbona sikuelewi, si Umesema wewe una kismati kwamba hukosi mwanamke unayemtaka na ukimaliza unamtema kama BG . sasa imekuwaje huyu anakuwa pasua kichwa kwako? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.
wakishua vipi ata mimi simuelewi huyu dogo hivi dogo uko fomu ngapi au unamiaka mingapi nijibu maswali haya nikusaidie?