Demu mpenda mafanikio/pesa

Demu mpenda mafanikio/pesa

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,879
Haya wana MMU naomba tushirikiane kwenye hii mistari ya Niki wa Pili,

Mungu nijalie demu mpenda pesa
,kila siku nipigane kuwa bakhresa
,
Asinipende mimi apende verosa

Wana wamegewa wengi ndio kitu wamekosa,

Malighafi ya suruali si boxer

Siri nyingi mahali dingi alikosa

Demu wa shida na raha na misoto sana,
Huyo demu hanifai changamoto
hana.
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa
kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda
changu,
Sitaki demu wa kitanga jioni moja
kanga,
Tayari amejipanga kwa mabusu
mangapi,
Demu nayemtaka manka wa kichaga
jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi.

Haya wazoefu, hawa wadada wapenda pesa/mafanikio/vitu vikubwa kweli ni bora kuliko wale wa "nakupenda hata kama huna kitu"
 
huyo naye aliimba kujifurahisha na hao wapenda dezo anaowasifia wanafanana naye akili.
 
Kunaweza kuwa na kaukweli fulani hapo kwenye baadhi ya lines .....some men perform better financially when there is pressure from women lol!
 
Ndo maana miziki ya kizazi kipya inawahi kuchuja
kama mistari ndo hii
 
Ipo siku tutaona amepiga picha na mkuu w kaya!
 
  • Thanks
Reactions: 1gb

Similar Discussions

Back
Top Bottom