Demu kama huyu nimfanyaje

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
Nimekuwa nae katika mahusiano almost mwaka sasa kusema ukwel uyu demu ananipenda sana na pia mimi nampenda shida ambayo anayo hataki kabisa kijigi na mimi nimesumbuana nae mda mrefu sana ila leo amenitamkia wazi kuwa

Halafu kinachonishangaza nikiamua kuuchuna kama wiki hivi simtafuti huwa ananisumbua sana sorry samahani zinakuwa nying na vizawadi vya hapa na pale haviishi
 
Anasoma Form Ngapi
 
So nawaza ngono nimeomba ushauri hv unaweza kuwa na uhusiano na mtu mwaka alaf hamjafanya chochote
ndio maana unaambiwa unawaza ngono, mbona wanaume wenzako una uhusiano nao wa kirafiki na hamfanyi ngono. Tulia dogo piga kitabu kwanza ukikua na kukamata mkwanja watakuvulia kufuri bila hata kuongea inatokea tu automatikare
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…