betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 138
- 227
ameshakwambia hakupendi usimlazimishe,Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Ni kweli na alikua ananiambia hapendi kuona nalalamika alafu nilisoma message zake na za jamaa ni kama demu alimpenda jamaa kuliko jamaa anavyompenda maana jamaa alikua anajifu mara chacheMwanaume kukataliwa na demu kisha uanze kulalama ni ajabu.
Mwanaume siku zote ni risk taker iwe kwa maumivu ni sawa au kwa furaha yote ni sawa. Unaganga yajayo
Uzi ufungwe hapaHuyo ni demu vipi wanaokataliwa na wake zao ninyi si ndo mnajinyonga nyie?
Mwanamke anaweza kukukataa kwa sababu zozote zile anazozijua yeye.
Kitu cha kukupa maswali mengi ni pale utakapo kataliwa na mwanamke anayeitwa mama yako kuwa wewe si mtoto wake hapo sasa tuletee uzi wako tutoe maoni
Dah unadhani nilikosea wapiUkiona umeachwa jua kuna mjanja kapendwa na ukiona umependwa jua kuna fala kaachwa!
Kaka nipe maoni nipo na majonzi sana1.Umri wako tafadhali..
2.Ambatanisha cheti chako cha kuzaliwa.
3.nida,
4.passport size 3,
4. barua ya mtendaji yenye saini ya mwenyekitinwa mtaa na mjumbe wako wa shina
Kaka nipe maoni nipo na majonzi1.Umri wako tafadhali..
2.Ambatanisha cheti chako cha kuzaliwa.
3.nida,
4.passport size 3,
4. barua ya mtendaji yenye saini ya mwenyekitinwa mtaa na mjumbe wako wa shina
Nime maoniMkuu kwani umeishiwa mshahara tayari?
Ivi ni kwanini demu nimempenda sana ila ananikataa kikatiliUzi ufungwe hapa
Wapo wengi ila huyu ni bikra nilitaka nimuoeHivi huyo demu, yuko pekee humu nchini? Wewe geuka na uwe sukari ya walembo, atakufuata mwenyewe, mradi tu usisahau kinga, vinginevyo ngono zembe na madhara yake iko pembeni...
Bro kukataliwa na demu uliemfanyia mambo mengi mpaka kujinyima alafu anaenda kwa jamaa mwingine na anasema anaenda kulala naeAsubuh hii tunaamka na mambo ya kitoto kabisa.