Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa
new member
Ndio maana nikakaa zangu kimya kuliko kutoa post halafu unashambuliwa naweza nikapasua simu yangu bure kwa hasira.Sio lazima wote tuanzishe thread wengine tubaki wachangiaji ni vyema sana
Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa
Sijakuelewa vizuri hebu fafanua zaidi
Mmmh humu ndan kaz ipo