Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,665
[emoji22][emoji22][emoji22] Kweli bro... Yani kuuza mechi nako hukuu...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wakuu
Hivi kwanini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja mkuu...!! Mungu atusaidie tu maana ujana huu balaa...Kuuza mechi ni kutamu Sana maana performance inakua nzuri saaaana! Yaani asikwambie mtu na utamu wake hauna kifani! BUT soon after that, kilio na simanzi hukuandama! Maisha ni mazuri japo ni mafupi. Pata UKIMWI kwa bahati mbaya ila sio kudhamiria....
AIDS is Real
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa sikua na maana ya kuharibu harakati zako, just a reminder, Play it well, Play it Safe.
Yaaah mkuu...michepuko noma!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji22]Hahahaa sikua na maana ya kuharibu harakati zako, just a reminder, Play it well, Play it Safe.
Tafuta Demu unayempenda kisha fanyeni style zote na jambo lolote mnalotaka. Usiuze mechi nje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nikaambiwa, yatokee kwa dada zako, kwa watoto wako wa kike!
Iliniuma ila nikasema laana za uzinzi hazishiki, ila ilinifundisha sana kuwa mkweli napomfata mtu (transparency).
Inaumer sana.... Especially Qama qolon ulitia ma service fln hvhabari wakuu
Hivi kwanini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Severally, it does happen that someone is humbly asking you to sex with her. Even when you make it very clear that there is no future kati yenu.
Sometimes they are below 20 or on their early 20's.
It quite vice versa, huh??!!!!!
Mungu anifanye mwaka huu niwe mwema hivi hivi. Aamyn aamyn
That's true!To me that is 51% moral, the guilty consciousness doesn't eat me too much as compared to if it is the other way.
Kwa kweli katika hili Mawazo yetu ni PachaHuwa bahati mbaya sana nikitembea na mwanamke once or twice tukaachana kwa sababu zangu naumia kwamba ananilaani kwa kumtumia.
Ila kama hatujafanya nakuwa safi kabisa, maana najua hata laana zake zitakuwa za kawaida.