Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 551
- 1,869
Mzungumzaji amesema suala la kupiga kura na uchaguzi ni mchakato tu. Watu katika nchi zinazoendelea hawahitaji mchakato bali wanahitaji matokeo. Wanahitaji huduma za afya, mavazi nk. Kwa demokrasia ya China wamefanikiwa kuwapa wananchi wao zaidi ya 1.4 bilioni huduma hizo.
Amehoji kama Demokrasia ya China ni mbaya, kwa nini China ni tajiri mara tano zaidi ya India ambayo inafanya demokrasia ya magharibi?