Demokrasia ya CCM katika chaguzi zake


mjombo's

mjombo's

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
494
Points
195
mjombo's

mjombo's

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
494 195
Chaguzi za ccm zimekua zikinishangaza sana pale wanapojikusanya kutoka pande zote za nchi katika kile wanachokiita kua ni mkutano mkuu nakufanya uchaguzi mkuu. uchaguzi huu umekua ukishabikiwa sana na wana ccm kuwa ni uchaguzi wakidemocrasia ambao katika siasa za ndani ya vyama ccm wanadai kua ccm peke yake ndio hufanya kitu cha kidemocrasia km hicho

Nashindwa kuelewa ile democrasia niijuayo mimi na hii ya ccm kwa nini zinatofautiana sana coz democrasia ninavyojua mimi ktk chaguzi ni kwamba kunakua na 4m ambazo zipo drafted na kila mwenye nia ya kuhodhi nafasi inayofanyiwa uchaguzi anatakiwa achukue 4m hiyo na kuijaza sawasawa na mwongozo wa 4m hiyo na kisha wajumbe au wananchi watapiga kura kuchagua yule afaaye kua kiongoz wao.

kwa upande wa ccm nimeona ktk uchaguzi uliopita kwamba nafasi ya M/kiti haikupewa chance kwa wajumbe wenye nia ya kugombea kiti hicho kuchukua 4m na kujaza ili wapambane kupitia kura za wajumbe hao wa mkutano mkuu, Hii inaonyesha kua walichokifanya ni kuaprove kua alie kua M/kiti aendelee kua M/kiti wa chama hicho na si uchaguzi wa kidemocrasia km wanavyodai coz unaposema unafanya uchaguzi ni lazima pawe na vitu au watu wengi ambapo ktk wa2 hao mmojawapo anatakiwa achaguliwe na wajumbe hao kua M/kiti ndipo useme kua umefanya uchaguzi otherwise sijaoona democrasia yanamna hii.

China ilikua na uchaguzi wanamna hii hii km wa ccm (mkutano mkuu wa chma tawala) km 2 weekc ago lakini ktk uchaguzi wao nafasi ya M/kiti iliyokua ikishikiliwa na bwana HUU JINTAO iliwekwa wazi kwa wajumbe wenye nia ya kumreplace mr: HUU kujitokeza na kujaza 4m hiyo na kugombea nafasi hiyo. Vice pres wa HUU jintao aliweza kushinda nafasi hiyo na kumreplace HUU km M/kiti wa chama chao, Uchaguzi km huu ktk siasa za ndani ya vyama nadhani ndio unaostahili kupewa jina la uchaguzi wa kidemocrasia na si km huu wa ccm. Otherwise ningependa tu kufunguliwa juu ya aina hii ya ccm's democrasy ni ip
i?
:A S-key::A S-key::lock1::lock1:
 

Forum statistics

Threads 1,295,827
Members 498,404
Posts 31,224,460
Top