Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Huyo si wamefanikiwa kumpiga Picha. Jecha alivyochomoka na kwenda kusema uchaguzi umefutwa si afadhali ya huyo! Hapa kwetu kuna mahali inasadikika RPC ndiye alitangaza matokeo ya Mbunge wa CCM kushinda kwenye uchaguzi wa Mwaka 2010.
Uganda kwa kweli wamechemsha sana! Kama kuna Mahakama ya kimataifa itathubutu kufika huko Uganga itasadia kuwapatia somo wenye Unyama Kama wa Mseveni
Polis wa uganda awavai hizi nguo acha umbea
Chupi ndo hwavaiPolis wa uganda awavai hizi nguo acha umbea
Nashangaa sana hii theory wanayotumia watu baadhi kuponda kila chaguzi ambazo unakuta vyama tawala ndio washindi...ni kweli hila katika chaguzi hizi huwa zipo lakini tusijisahau kwamba hata vyama tawala vina wananchi wenye imani navyo na wako tayari kuona wakiendelea kutawaliwa na vyama hivi kuliko kuwapa wapinzani madaraka.Ninavyojua ili uchaguzi utambuliwe kuwa ni wa uhuru na wazi ni pale ambapo upinzan umeshinda...kinyume chake huwa unaitwa kinyume chake!
Mbona police wa Uganda hawavai hivyo.Uganda kwa kweli wamechemsha sana! Kama kuna Mahakama ya kimataifa itathubutu kufika huko Uganga itasadia kuwapatia somo wenye Unyama Kama wa Mseveni
Africans are misplaced human beings in this planet-We are in place that we don't fit.