"aliposimama hapa kazungumzia Demokrasia,(mpinzani) sijui demokrasia gani anataka, tumekaa hapa CCM, CHADEMA na CUF, ameitwa kwenye mkutano ambao Rais ni Mwenyekiti wa CCM anazungumza, sijui anataka demokrasia gani, demoktasia sio fujo"
"Tungekuwa wabaya sisi CCM, tusingeweka hii barabara Dar, kwa sababau hata Mstahiki Meya sio wa CCM ila namshukuru maana anajua kabisa huku ndio kutekeleza ilani ya CCM."