Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 590
- 706
“Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo kidemokrasia." — Alloyce, P.R.