Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

Kuhama ni sawa na kurudi pia ruksa, mie sijawahi shabikia hizo vyama vyenu manake bora kuwa huru kuliko kufata ya watu by the way sijawahi kukubari Siasa za Seif. Ila wasi wasi tulionao mbona nyie mnaotoka mtaa wa saba ndio mnao simamia vidole gumba kuliko CUF wenyewe. Nyie Siasa zenu ndio zinabadilika badilika mlikuwa mnawaita CCM B baada ya muafaka, mahaba yenu ya ghafla ndio yanafanya tuwatilie shaka. Nyie mnabadilika saana lakini mbona hamtaki wengine wawe wanabadilika?
Hapo kwenye red, sawa ni ruksa ila lazima kufuata taratibu sio stail ya Professa.
Hapo kwenye bluu wewe upo mtaa upi Lumumba mpaka uuone mtaa wangu?
Umetuita sie, sie ni akina nani kama mlivyotumwa na mabosi wenu? Kwa maono yako umenijumuisha kule mawazo yako yalipo ili kudanganya wasiofikiri waamini hivyo.
Kunyooshea vidole kundi na kusingizia kundi flani ili mradi kudumisha UBISHANI NA AJENDA ZA KIMKAKATI NDIO zinazuia ajenda za HAPA KAZI, mnajichanganya!
Himizeni watu wafanye kazi tujadili vyanzo vya ajira na changamoto zake, kwa nini wasiwatume hivi.....
 
Back
Top Bottom