Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

Kutokana na umaskini katika nchi maskini hususan za Africa, hata watu wake wengi (sio wote) mawazo yao ni maskini pia, hayana afya!! Ukifuata demokrasia ya wengi wape, hawa watakupoteza, hapo sio kwa makusudi, ni kwa kuwa na uelewa mdogo, nn kifanyike? Ni lazima tuchague aina ya udikteta, kudikteti mawazo yao yasio na afya, japo wameyatoa kwa nia njm!! Kwa lugha rahisi demokrasia kwa watu maskini wa akili ni janga!!

Ni hatari sana kutekeleza demokrasia isiyoendana na asili ya watu...sisi tumevunja taasisi zetu na uasili wetu kwakupenda kuiga vitu bila kuweka maana...hivi kwanini tumevunja mifumo ya familia na koo kuishi kwa ujamaa huku hakuna mfumo mbadala wakutunza yatima, wazee, wajane na vilema? Badala ya kuendelea hiyo mifumo huku tukiondoa mambo machache ya kurithishana wake na mali pasipo kuweka sheria inayosaidia wahanga tumekimbilia kujenga taasisi zinazohudumia wale wenye ajira rasmi tu ambao hawafiki hata 10%...Hatuishi uhalisia na elimu yetu imekosa context ni ya kufikirika tu...watu wanashindana kukariri na anayeweza kukariri ndiye mwenye kupewa malipo makubwa...
 
Africa haitakuwa kama viongozi wa Africa wataendelea kuwa vibaraka wa wazungu.
Maana wazungu wanawageuza viongozi wa Africa kuwategemea wazungu.
Kama ili la soko la Pamoja na nchi za ulaya, ndio hiyo hiyo mikataba ya kipuuzi, ambayo aina faida yoyote kwa Africa.
Wewe mwafrika utaweza kushindana na soko la ulaya

Waafrika tutumie wasomi na vijana katika kufanya maamuzi na sio kuwaachia wazee na wanasiasa ambao wanazidi kutia hasara katika nchi hii.
Decision making (maamuzi) katika nchi zilizoendelea wanawatumia watu wa Umri miaka 45-18 ambao wana upeo wa mkubwa na awawezi kukosea kwa sababu kama ni shida itawahusu wao. Sasa Africa , decision makers (watoa maamuzi) ni watu wazima wenye miaka 60 na kuendelea na ndio maana awataki mabadiriko na maboresho ya mambo kwa kuofia nchi itaingia katika machafuko

Ajabu ni kuwa vijana hawapewi nafasi mpaka mawazo yao yanakuwa out dated na wao kwakua hawakupewa nafasi wanapoingia wanatekeleza hayo out dated ideas huku dunia ikiwa mbali katika mtazamo na fikra kila siku tupo nyuma kwakua we have wrong people in the wrong place at a wrong time...

Mimi miaka 10 iliyopita nilikuwa na uwezo mkubwa sana wakuleta mabadiliko bahati mbaya nikaishia kwenye kuhamasisha badala ya ku implement ideas zangu leo hii nipo out dated ndiyo nafasi ziko bwelele mbele yangu...what a wrong timing!

Enzi hizo shirika moja la kimarekani lilinitengenezea nafasi ya ajira kwakuona kuwa nipo potential mawazo yale niliyoya present kwao wamekuja tengeneza project kibao ambazo hazikuwa implemented kisawasawa kwani policy makers walikuwa bado hao old schools...sasa dunia ipo mbele sisi tunakuja na mipango ambayo tutakuja gundua ni hasara baadaye maana dunia yote imebadili mtizamo...always lagging behind kwakua decision makers wetu mawazo yao yanakuwa yamepitwa na wakati...
 
[QUOTEOme, post: 17902787, member: 39192"]Ajabu ni kuwa vijana hawapewi nafasi mpaka mawazo yao yanakuwa out dated na wao kwakua hawakupewa nafasi wanapoingia wanatekeleza hayo out dated ideas huku dunia ikiwa mbali katika mtazamo na fikra kila siku tupo nyuma kwakua we have wrong people in the wrong place at a wrong time...
Mkuu si wameona kina makonda ndio wanamawazo kem kem kupambana na mashoga

Enzi hizo shirika moja la kimarekani lilinitengenezea nafasi ya ajira kwakuona kuwa nipo potential mawazo yale niliyoya present kwao wamekuja tengeneza project kibao ambazo hazikuwa implemented kisawasawa kwani policy makers walikuwa bado hao old schools...sasa dunia ipo mbele sisi tunakuja na mipango ambayo tutakuja gundua ni hasara baadaye maana dunia yote imebadili mtizamo...always lagging behind kwakua decision makers wetu mawazo yao yanakuwa yamepitwa na wakati...[/QUOTE]
Wame

Ona
 
  • Thanks
Reactions: Ame
[QUOTEOme, post: 17902787, member: 39192"]Ajabu ni kuwa vijana hawapewi nafasi mpaka mawazo yao yanakuwa out dated na wao kwakua hawakupewa nafasi wanapoingia wanatekeleza hayo out dated ideas huku dunia ikiwa mbali katika mtazamo na fikra kila siku tupo nyuma kwakua we have wrong people in the wrong place at a wrong time...
Mkuu si wameona kina makonda ndio wanamawazo kem kem kupambana na mashoga

Mimi miaka 10 iliyopita nilikuwa na uwezo mkubwa sana wakuleta mabadiliko bahati mbaya nikaishia kwenye kuhamasisha badala ya ku implement ideas zangu leo hii nipo out dated ndiyo nafasi ziko bwelele mbele yangu...what a wrong timing!

Enzi hizo shirika moja la kimarekani lilinitengenezea nafasi ya ajira kwakuona kuwa nipo potential mawazo yale niliyoya present kwao wamekuja tengeneza project kibao ambazo hazikuwa implemented kisawasawa kwani policy makers walikuwa bado hao old schools...sasa dunia ipo mbele sisi tunakuja na mipango ambayo tutakuja gundua ni hasara baadaye maana dunia yote imebadili mtizamo...always lagging behind kwakua decision makers wetu mawazo yao yanakuwa yamepitwa na wakati...
Wame

Ona[/QUOTE]

Zamu hii anayeongoza hajazeeka akili lol! Na anahamu kweli ya kuiendeleza nchi yake...Kila siku naimba halleluya kumshukuru Mungu kupata kiongozi!
 
Okay! Africa tuongozwe kwa falsafa ipi ili tuendelee?
Kwanza kuwe na uwazi katika Mikataba mikubwa. Na iwekwe katika Lugha ambayo inatumika na watu wengi, ila kila mtu waweze kuijadili na kutoa michango na kuangalia faida yake kwa nchi husika. Kingine kustaafu katika kazi kupunguzwe mpaka 55. Pili kama kitu kinaitaji kuwa na ukisasa zaidi inabidi wale ambao wapo katika iyo system wakubali kushirikiana na awa vijana wadogo wanaotoka mashuleni wanapokuja katika sehemu za kazi. Maana kuna vita kubwa makazini wakisikia kuna vijana waliomaliza chuo kufika. Kingine Taasisi zote za serikali za Africa zimekuwa zinaongozwa na wazee ambao ni tayari wana Umri wa miaka Zaidi ya 54 na kuendelea, mtu kama huyu katika kufanya maamuzi anakuwa muoga wa mabadiliko. Umri wa uraisi uwe kuanzia miaka 44 mpaka 48, tofauti na sasa mtu anaingia na miaka zaidi ya 55.
 
Mfano mdogo angalia makampuni binafsi mengi apa Africa ayana idadi kubwa ya wazee na ndio maana yamekuwa yanafanya vizuri sana
 
Kifalsafa zaidi Afrika haiwezi kuishi maisha yaliyoishi Ulaya na Amerika, Nchi zote zilizoendelea zilipita kwenye mikono ya kiimla na kidikteta japokuwa nyakati ziliruhusu kuwa hivyo,

Njia hizo haziwezi na hazitotokea kuisaidia Afrika, Afrika lazima ichague utaratibu wake wa kufikia malengo iyatakayo na siyo njia hii tuiendeayo ambayo ni njia waliyopita Ulaya na Amerika karne ya 18-19, Nyakati za leo zinakataa. Wapo wanaoitazama dunia kuwa inaongwa kidkteta hasa Uchina, Korea Kaskazini, Korea Kusini, Urusi nk... Lakini hawafahamu kuwa ule sio udikta ni utawala wa sheria na katiba uliojengwa katika misingi ya karne ya 18-19 ambpo dunia ilikuwa chini ya mkono wa chuma. Leo ule SIO UDIKTETA.

Udikteta upo wa aina moja tu, ni utawala usiofuata katiba na sheria, utawala wa mtu mmoja tu, utawala wa matamko (decree), na madikteta wapo wa aina mbili, ambao ni Dikteta msomi, na dikteta mpuumbavu... Hawa hutofautiana katika staili zao za kutawala, Dikteta msomi hutawala huku watu wake wakilia machozi moyoni na usoni wakicheka, huku dikteta mpuumbavu, hutawala huku watu wake wakilia machozi machoni huku moyoni wakikenua meno... Uchaguzi ni wako.

Udikteta wowote hata ule unaopambwa na wajasiliasiasa kuwa ni udikteta mamboleo kamwe haujawahi kuiendesha dunia ya leo, labla kwenye nchi ya Nodi. Hakuna udikteta mamboleo duniani, hilo ni ingizo jipya katika uhalifu wa kisiasa wa wanasiasa wanaotumia vibaya kiuongo chao kiitwacho tumbo.. Tumbo ukiliruhusu likutawale litakufanya hata uwe Prof utafanya mambo kama Prof Lipumba au hata uwe Dr utafanya mambo kama Dr Rutengwe.

Demokrasia ya ulaya katika nchi masikini ni umasikini.
Kwanza kuna haja gani ya kubadilisha rais kila mara??? Kwanini asiwe mmoja tu mpaka azeeke sana ndo aachie madaraka. Maana kunakua ma gharama kubwa sana wakati wa uchaguzi
 
Kwa hilo nakubaliana na wewe...demokrasia ya wazungu ina mahusiano na tamaduni zao...sisi yetu ni tofauti ya kwetu alituandikia baba yetu wa taifa lakini wengi wetu hatupendi kuiboresha hiyo tunakimbilia ya wenzetu tena kwakuchagua yale tunayoyapenda na yale tusiyoyapenda hata kuyataja hatuthubutu...Wabinafsi na ubinafsi mpaka kwenye familia zetu wenyewe
Naaam mkuu, umekumbusha jambo jema sana
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Afrika siyo nchi bali ni bara lenye mkusanyiko wa nchi kadhaa,kwa hivyo huwezi kuutenganisha uzi wako na tanzania.
Vipi udikteta ndani ya chadema ni udikteta wa aina gani?
Hivi haiwezekani kuongelea maendeleo ya Afrika (ikiwemo Tanzania) bila kuitaja CHADEMA (au chama kingine), mbona usiasa umezidi! Ndio ujinga wenyewe unaotuangamiza.
Kama chama kina UDIKTETA hakiendani na maendeleo tunayoyataka nchini mwetu, tujadili MAENDELEO kuondoa ujinga (uliojificha) kwanza. Hivyo vyama vitajifia vyenyewe. Kunyooshea kidole kwa hoja ya ushabiki bila undani makini ni UJINGA ULETAO UMASKINI, kwani watu watabaki kunyosheana vidole badala ya kuchambua/kutafakari njia ya kutoka shimoni.
 
Tatizo la chambuzi zenu ni kuongozwa na ajenda mnazotumiwa kuzieneza sasa heading inaweza kuwa nzuri lakini kufurahisha mabwana zenu ndio shida, Udikteta kuuzungumzia unataka 360 degree analysis manake hata wewe unatoa mada watu wakitoa mawazo tofauti ukipinga tayari we ni dikteta.

Demokrasia ya ulaya ni kutaka kuona kila mtu anapata fursa ya kuelezea mawazo yake hata kama ni tofauti na ya watawala. Udikteta Mpya afrika uko katika vyama vyenu na viongozi wa vyama vyenu hawataki mawazo tofauti na yao, nyie vibaraka wao mmeaminishwa udikteta ni kupinga walio madarakani na kushika dola tu. Mawazo ya Prof. Lipumba ni sawa alipaswa kusikilizwa hata kama hafurahishi mabwana zenu ndio demokrasia sasa nyie na wanaowatuma mnatumia nguvu kubwa kuzuia mawazo tofauti.

Acheni watu wawe huru kuwa na mawazo tofauti na yenu na ya mabwana zenu hata kama hayawapendezi ndio demokrasia. Yaani humu JF watu wanademokrasia hata kwa kuficha ID zao lakini mawazo huru ndio yanafanya watu wanaongezeka kutumia.
Hapo kwenye red, ndio ndio panakutambulisha kuwa wewe ndio umebeba ajenda za wanaokutuma na kufikiri kila mtu ni hivyo. Tatizo la huyo profesa wako, unaona amekataliwa kusikilizwa au amezuiwa kuwafanya wenzake mazuzu. Alishajiuzuru, alijiweka pembeni bila kusema baadae nitarudi. Sasa ni kitu gani kinamrudisha mbio madarakani. Waweza kujiuzuru uongozi ukakaa pembeni harafu baadae ukajirudisha....
Inaingia akilini hii? Hakuna anayempinga Lipumba kwa mawazo yake, anapingwa kwa jinsi anavyotaka kuchezea madaraka na taratibu za wenzake (CUF). Hata wewe ukiona mtazamo wako hauendani na chama chako HAMA, kwa nini yeye asihame, au aanzishe chama chake. Hilo gumu bari kurudi CUF na kufanya anavyofanya ni rahisi na nyie mnasema mawazo yake yaheshimiwe ati DEmokrasia
 
Kuhama ni sawa na kurudi pia ruksa, mie sijawahi shabikia hizo vyama vyenu manake bora kuwa huru kuliko kufata ya watu by the way sijawahi kukubari Siasa za Seif. Ila wasi wasi tulionao mbona nyie mnaotoka mtaa wa saba ndio mnao simamia vidole gumba kuliko CUF wenyewe. Nyie Siasa zenu ndio zinabadilika badilika mlikuwa mnawaita CCM B baada ya muafaka, mahaba yenu ya ghafla ndio yanafanya tuwatilie shaka. Nyie mnabadilika saana lakini mbona hamtaki wengine wawe wanabadilika?
 
Back
Top Bottom