Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
UKUTA lini?
Kuongoza mda mrefu kwa ridhaa ya unaowaongoza ni sababu tosha ya udikiteta?Yerico unaongelea udikteta upi?
Toa boriti kwanza kwenye jicho lako
Chadema wameondoa kinyemela kipengele cha ukomo wa uongozi,yaani Mbowe ni mwenyekiti hadi siku ya kiama
Chadema huruhusiwi kwenda mahakamani,ukienda tu umejifukuzisha!!!hii haki ya msingi imepokwa Mbona hatumuoni Yerico na genge la wasanii wenzie kupiga kelele?
Bavicha msifanye watu wote ni wajinga kama wafuasi wenu
Ni kweli, japo pia linasema si kila wakati ni wa kusikiliza....Ni nyakati tu na halihalalishi utawala wa chuma
Una point lakini kosa la CDM lisiilazimishe nchi kubaki huko walikotoka watu.Yerico unaongelea udikteta upi?
Toa boriti kwanza kwenye jicho lako
Chadema wameondoa kinyemela kipengele cha ukomo wa uongozi,yaani Mbowe ni mwenyekiti hadi siku ya kiama
Chadema huruhusiwi kwenda mahakamani,ukienda tu umejifukuzisha!!!hii haki ya msingi imepokwa Mbona hatumuoni Yerico na genge la wasanii wenzie kupiga kelele?
Bavicha msifanye watu wote ni wajinga kama wafuasi wenu
Hata maandishi yangu uliyoyarudia kwa wekundu hayasemi unavyotaka iwe.kwa maana udikteta upo,sasa mbona unaandika hakuna???
Yericko Nyerere a.k.a mchumia tumbo wa ufipa..Kifalsafa zaidi Afrika haiwezi kuishi maisha yaliyoishi Ulaya na Amerika, Nchi zote zilizoendelea zilipita kwenye mikono ya kiimla na kidikteta japokuwa nyakati ziliruhusu kuwa hivyo,
Njia hizo haziwezi na hazitotokea kuisaidia Afrika, Afrika lazima ichague utaratibu wake wa kufikia malengo iyatakayo na siyo njia hii tuiendeayo ambayo ni njia waliyopita Ulaya na Amerika karne ya 18-19, Nyakati za leo zinakataa. Wapo wanaoitazama dunia kuwa inaongwa kidkteta hasa Uchina, Korea Kaskazini, Korea Kusini, Urusi nk... Lakini hawafahamu kuwa ule sio udikta ni utawala wa sheria na katiba uliojengwa katika misingi ya karne ya 18-19 ambpo dunia ilikuwa chini ya mkono wa chuma. Leo ule SIO UDIKTETA.
Udikteta upo wa aina moja tu, ni utawala usiofuata katiba na sheria, utawala wa mtu mmoja tu, utawala wa matamko (decree), na madikteta wapo wa aina mbili, ambao ni Dikteta msomi, na dikteta mpuumbavu... Hawa hutofautiana katika staili zao za kutawala, Dikteta msomi hutawala huku watu wake wakilia machozi moyoni na usoni wakicheka, huku dikteta mpuumbavu, hutawala huku watu wake wakilia machozi machoni huku moyoni wakikenua meno... Uchaguzi ni wako.
Udikteta wowote hata ule unaopambwa na wajasiliasiasa kuwa ni udikteta mamboleo kamwe haujawahi kuiendesha dunia ya leo, labla kwenye nchi ya Nodi. Hakuna udikteta mamboleo duniani, hilo ni ingizo jipya katika uhalifu wa kisiasa wa wanasiasa wanaotumia vibaya kiuongo chao kiitwacho tumbo.. Tumbo ukiliruhusu likutawale litakufanya hata uwe Prof utafanya mambo kama Prof Lipumba au hata uwe Dr utafanya mambo kama Dr Rutengwe.
Demokrasia ya ulaya katika nchi masikini ni umasikini.
Mimi natumiwa, je wewe?Yericko Nyerere a.k.a mchumia tumbo wa ufipa..
Nakuhisi hisi unataka kujipendekeza pahali ila hujui pa kuanzia hivyo unaanza kwa kuzuga na micharazo yako ya kusadikika isiyokuwa na kina wala shina..
Hii context uliyojificha nyuma yake leo, mwendelezo wake viona mbali tunaujua.. tunasubiri muda ukuhukumu..
Tumekuzoea kwa kula matapishi yako mwenyewe hivyo usijifiche chini ya mwamvuli wa micharazo uchwara..
Funguka tu na ule tena matapishi yako kama ilivyo ada kwako, usione soo, sema nae...
haitakuwa kama viongozi wa Africa
wataendelea kuwa vibaraka wa wazungu.
, decision makers (watoa maamuzi) ni watu wazima wenye miaka 60 na kuendelea na ndio maana awataki mabadiriko na maboresho ya mambo kwa kuofia nchi itaingia katika machafukoHahahahahahahahahaWewe jamaa kila siku kupinga .nyie wenyewe kwnye Chama chenu kuna udkteta ila mnaogopa kusema
moja kati ya majibu mazuri yaliyowah kujibiwa tangia jukwaa hili lianzishwe ni kwamba kweli mi nimeichana kad yangu ya CUF lakin ni ngumu kuchana ID yangu ya uraia hata kama nchi inaendeshwa na majipu sijui chunusi hata haielewek tunaelekea wapChama cha siasa ni kama msikiti au kanisa, ukiona mafundisho haya hayakufai unahamia kwingine.... Nchi huwezi kuhama unapambana mpaka tone la mwisho
Afrika siyo nchi bali ni bara lenye mkusanyiko wa nchi kadhaa,kwa hivyo huwezi kuutenganisha uzi wako na tanzania.Unapotosha nilichoandika na unanilisha maneno mdomoni...
Soma kilichoandikwa hakihusu Tanzania kinahusu Afrika...
Kifalsafa zaidi Afrika haiwezi kuishi maisha yaliyoishi Ulaya na Amerika, Nchi zote zilizoendelea zilipita kwenye mikono ya kiimla na kidikteta japokuwa nyakati ziliruhusu kuwa hivyo,
Njia hizo haziwezi na hazitotokea kuisaidia Afrika, Afrika lazima ichague utaratibu wake wa kufikia malengo iyatakayo na siyo njia hii tuiendeayo ambayo ni njia waliyopita Ulaya na Amerika karne ya 18-19, Nyakati za leo zinakataa. Wapo wanaoitazama dunia kuwa inaongwa kidkteta hasa Uchina, Korea Kaskazini, Korea Kusini, Urusi nk... Lakini hawafahamu kuwa ule sio udikta ni utawala wa sheria na katiba uliojengwa katika misingi ya karne ya 18-19 ambpo dunia ilikuwa chini ya mkono wa chuma. Leo ule SIO UDIKTETA.
Udikteta upo wa aina moja tu, ni utawala usiofuata katiba na sheria, utawala wa mtu mmoja tu, utawala wa matamko (decree), na madikteta wapo wa aina mbili, ambao ni Dikteta msomi, na dikteta mpuumbavu... Hawa hutofautiana katika staili zao za kutawala, Dikteta msomi hutawala huku watu wake wakilia machozi moyoni na usoni wakicheka, huku dikteta mpuumbavu, hutawala huku watu wake wakilia machozi machoni huku moyoni wakikenua meno... Uchaguzi ni wako.
Udikteta wowote hata ule unaopambwa na wajasiliasiasa kuwa ni udikteta mamboleo kamwe haujawahi kuiendesha dunia ya leo, labla kwenye nchi ya Nodi. Hakuna udikteta mamboleo duniani, hilo ni ingizo jipya katika uhalifu wa kisiasa wa wanasiasa wanaotumia vibaya kiuongo chao kiitwacho tumbo.. Tumbo ukiliruhusu likutawale litakufanya hata uwe Prof utafanya mambo kama Prof Lipumba au hata uwe Dr utafanya mambo kama Dr Rutengwe.
Demokrasia ya ulaya katika nchi masikini ni umasikini.
Naona upo heat unataka kushika mimba tena baada ya ile ya Octoba 25!Kifalsafa zaidi Afrika haiwezi kuishi maisha yaliyoishi Ulaya na Amerika, Nchi zote zilizoendelea zilipita kwenye mikono ya kiimla na kidikteta japokuwa nyakati ziliruhusu kuwa hivyo,
Njia hizo haziwezi na hazitotokea kuisaidia Afrika, Afrika lazima ichague utaratibu wake wa kufikia malengo iyatakayo na siyo njia hii tuiendeayo ambayo ni njia waliyopita Ulaya na Amerika karne ya 18-19, Nyakati za leo zinakataa. Wapo wanaoitazama dunia kuwa inaongwa kidkteta hasa Uchina, Korea Kaskazini, Korea Kusini, Urusi nk... Lakini hawafahamu kuwa ule sio udikta ni utawala wa sheria na katiba uliojengwa katika misingi ya karne ya 18-19 ambpo dunia ilikuwa chini ya mkono wa chuma. Leo ule SIO UDIKTETA.
Udikteta upo wa aina moja tu, ni utawala usiofuata katiba na sheria, utawala wa mtu mmoja tu, utawala wa matamko (decree), na madikteta wapo wa aina mbili, ambao ni Dikteta msomi, na dikteta mpuumbavu... Hawa hutofautiana katika staili zao za kutawala, Dikteta msomi hutawala huku watu wake wakilia machozi moyoni na usoni wakicheka, huku dikteta mpuumbavu, hutawala huku watu wake wakilia machozi machoni huku moyoni wakikenua meno... Uchaguzi ni wako.
Udikteta wowote hata ule unaopambwa na wajasiliasiasa kuwa ni udikteta mamboleo kamwe haujawahi kuiendesha dunia ya leo, labla kwenye nchi ya Nodi. Hakuna udikteta mamboleo duniani, hilo ni ingizo jipya katika uhalifu wa kisiasa wa wanasiasa wanaotumia vibaya kiuongo chao kiitwacho tumbo.. Tumbo ukiliruhusu likutawale litakufanya hata uwe Prof utafanya mambo kama Prof Lipumba au hata uwe Dr utafanya mambo kama Dr Rutengwe.
Demokrasia ya ulaya katika nchi masikini ni umasikini.
kutokufuata sheria ni udikteta au sio udikteta???Hata maandishi yangu uliyoyarudia kwa wekundu hayasemi unavyotaka iwe.