mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Du, unahusishaje kutokufuata sheria na udikteta!kutokufuata sheria ni udikteta au sio udikteta???
Du, unahusishaje kutokufuata sheria na udikteta!kutokufuata sheria ni udikteta au sio udikteta???
udikteta ni nini??Du, unahusishaje kutokufuata sheria na udikteta!
Well said,Africahaitakuwa kama viongozi wa Africa
wataendelea kuwa vibaraka wa wazungu.
Maana wazungu wanawageuza viongozi wa Africa kuwategemea wazungu.
Kama ili la soko la Pamoja na nchi za ulaya, ndio hiyo hiyo mikataba ya kipuuzi, ambayo aina faida yoyote kwa Africa.
Wewe mwafrika utaweza kushindana na soko la ulaya
Waafrika tutumie wasomi na vijana katika kufanya maamuzi na sio kuwaachia wazee na wanasiasa ambao wanazidi kutia hasara katika nchi hii.
Decision making (maamuzi) katika nchi zilizoendelea wanawatumia watu wa Umri miaka 45-18 ambao wana upeo wa mkubwa na awawezi kukosea kwa sababu kama ni shida itawahusu wao. Sasa Africa, decision makers (watoa maamuzi) ni watu wazima wenye miaka 60 na kuendelea na ndio maana awataki mabadiriko na maboresho ya mambo kwa kuofia nchi itaingia katika machafuko
Watu wanabadili uraia we unazungumzia kuhamaChama cha siasa ni kama msikiti au kanisa, ukiona mafundisho haya hayakufai unahamia kwingine.... Nchi huwezi kuhama unapambana mpaka tone la mwisho
Kweli Wewe Ni mtoto! Mwenzako hana hamu na SERO tena! Wala Mill 7!Yericko Nyerere tatizo lako kubwa ni kwamba unaleta mada nzito ambazo sisi watoto tunashindwa kuzielewa kwa ufasaha. tafadhali uwe unajaribu kuzimeng'enyameng'enya kidogo kaka
lakini asante sana kwa andiko lako kaka
Udikteta nini! Ndo unauliza hilo swali! Soma mada kuuudikteta ni nini??
Unakiwa utulie unisome kwa umakini neno kwa neno kisha rudi hapa tujadiliane mkuu, nina uhakika hujanilewa kabisaHuu ni uchafu mtupu, Nenda Botwana, nenda Ghana, Nenda Afrika Kusini. Au unataka kusema Kaburu Arudi? Kwanza tunahitaji katiba bora inayozingatia utu, haki, watu na urithi wao kwa maslahi ya taifa. Kwa mfano Botwana wakiuza almasi wanapata 70%. Haya manchi yasi na katiba yanapata 3 - 10%. Hayo maendeleo utayapataje kwa kutapanya mali. Toa uchafu humu. Usitufanye maragarasa.
Kuunga mkono na kupinga ni mitazamo tu si sheriaWewe jamaa kila siku kupinga .nyie wenyewe kwnye Chama chenu kuna udkteta ila mnaogopa kusema
Ndani ya Chadema hakuna udikteta ila kuna uongozi wa katiba na sheriaAfrika siyo nchi bali ni bara lenye mkusanyiko wa nchi kadhaa,kwa hivyo huwezi kuutenganisha uzi wako na tanzania.
Vipi udikteta ndani ya chadema ni udikteta wa aina gani?
mbona hueleweki kwenye mada udikteta ni kutofuata katiba na sheria,ukasema sio hivyo ndo maana nikauliza ni nini maana ya udikteta?...ebu angalia andiko lako chiniUdikteta nini! Ndo unauliza hilo swali! Soma mada kuu
Du, unahusishaje kutokufuata sheria na udikteta!
Wewe uliandika kutokufuata sheria ni udikteta, na kwenye mada kuu "udikteta ni UTAWALA usiofuata sheria na KATIBA". Tofauti kubwa ya tafsirimbona hueleweki kwenye mada udikteta ni kutofuata katiba na sheria,ukasema sio hivyo ndo maana nikauliza ni nini maana ya udikteta?...ebu angalia andiko lako chini
duh kwahiyo ukifuata katiba na usifuate sheria sio UDIKTETA????na hizo sheria hazipo kwenye KATIBA??...Wewe uliandika kutokufuata sheria ni udikteta, na kwenye mada kuu "udikteta ni UTAWALA usiofuata sheria na KATIBA". Tofauti kubwa ya tafsiri
Sijapata mantiki ya ubishani huu! Kama kutokufuata sheria ni udikteta, kwa tafsiri yako, basi kila mharifu ni dikteta.duh kwahiyo ukifuata katiba na usifuate sheria sio UDIKTETA????na hizo sheria hazipo kwenye KATIBA??...
kwenye katiba kuna nini??Sijapata mantiki ya ubishani huu! Kama kutokufuata sheria ni udikteta, kwa tafsiri yako, basi kila mharifu ni dikteta.
Waafrika bahati mbaya sana Mungu katunyima akili na maarifa...hatuwezi kuishi bila kumtegemea mzungu...hebu fikiria leo wazungu wakigoma kununua madini yetu tutayapeleka wapi? Hakuna namna lazima tuwauzie wao, kwa bei wanayotaka wao, kwa masharti watakayoweka wao ..Africahaitakuwa kama viongozi wa Africa
wataendelea kuwa vibaraka wa wazungu.
Maana wazungu wanawageuza viongozi wa Africa kuwategemea wazungu.
Kama ili la soko la Pamoja na nchi za ulaya, ndio hiyo hiyo mikataba ya kipuuzi, ambayo aina faida yoyote kwa Africa.
Wewe mwafrika utaweza kushindana na soko la ulaya
Waafrika tutumie wasomi na vijana katika kufanya maamuzi na sio kuwaachia wazee na wanasiasa ambao wanazidi kutia hasara katika nchi hii.
Decision making (maamuzi) katika nchi zilizoendelea wanawatumia watu wa Umri miaka 45-18 ambao wana upeo wa mkubwa na awawezi kukosea kwa sababu kama ni shida itawahusu wao. Sasa Africa, decision makers (watoa maamuzi) ni watu wazima wenye miaka 60 na kuendelea na ndio maana awataki mabadiriko na maboresho ya mambo kwa kuofia nchi itaingia katika machafuko
Waafrika bahati mbaya sana Mungu katunyima akili na maarifa...hatuwezi kuishi bila kumtegemea mzungu...hebu fikiria leo wazungu wakigoma kununua madini yetu tutayapeleka wapi? Hakuna namna lazima tuwauzie wao, kwa bei wanayotaka wao, kwa masharti watakayoweka wao ..