Democratic Peoples Republic of Korea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Democratic Peoples Republic of Korea

Discussion in 'International Forum' started by Bazazi, Jan 16, 2009.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  DPRK kwa ufupi ni Korea Kasikazini. Kiongozi wake Kim Jong Il amemtaja mtoto wake wa kiume wa tatu (third son) kuwa mrithi wake; jina halikutajwa.
  Ni nini tafauti ya UKOMONISTI na UFALME maana wote wanarithisha watoto wao. Angalia CUBA.

  Hivi neno DEMOCRASIA lina maana tofautitofauti kulingana na jamii?
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ili kubaki thabiti lazima utafute mtu mwenye misimamo kama wewe, WHAT KIM DID in SCOUT we say BRAVOOOO...!
   
Loading...