katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
Anajisahaulisha ila nadhani karudi na ID ya DemiKwani hujui kuwa kuna watu walichomoa betri???.πππ.
Muulize Mshana JrDemiss upo uko wapi??
Mie mzima wa afya njema nimekumiss huku jukwaani huonekani.
Kimya ?
Au umeolewa??
Tujuzane tukuletee zawadi ya heri.
I miss u my dear friend huku tulikuwa tunasaidiana sana na baadhi ya wadada.
Ila umepoa au umefichwa??
Oh, kweli wakubwa wa JF wanafaidiAnasubiri kushusha mzigo , nitakutumia picha alivyojaaliwa
Hahahahhapale unapojitekenya na kucheka mwenyewe
Samahani MkuuUsiongee kitu Kama huna uhakika nacho mkuu. ID yangu ni tangu 2016. Demiss kaondoka mwaka gani na kurudi 2016?
HapanaKwani hujui kuwa kuna watu walichomoa betri???.πππ.
Wao nani kampata,jamani humu huyu mtotoAnasubiri kushusha mzigo , nitakutumia picha alivyojaaliwa
Cheusi mangala wa chuga upogo!Demiss upo uko wapi??
Mie mzima wa afya njema nimekumiss huku jukwaani huonekani.
Kimya ?
Au umeolewa??
Tujuzane tukuletee zawadi ya heri.
I miss u my dear friend huku tulikuwa tunasaidiana sana na baadhi ya wadada.
Ila umepoa au umefichwa??
Lina mdomo mchafu kama niniUsiongee kitu Kama huna uhakika nacho mkuu. ID yangu ni tangu 2016. Demiss kaondoka mwaka gani na kurudi 2016?
NipoooCheusi mangala wa chuga upogo!
Nitauana na atakayekuchafua, mtajeUsiongee kitu Kama huna uhakika nacho mkuu. ID yangu ni tangu 2016. Demiss kaondoka mwaka gani na kurudi 2016?