Demiss Happy Iddi I MISS U my mumu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Demiss upo uko wapi??
Mie mzima wa afya njema nimekumiss huku jukwaani huonekani.
Kimya ?
Au umeolewa??
Tujuzane tukuletee zawadi ya heri.
I miss u my dear friend huku tulikuwa tunasaidiana sana na baadhi ya wadada.
Ila umepoa au umefichwa??
 
Muulize Mshana Jr
 
Cheusi mangala wa chuga upogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom