Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Maisha ni magumu sana Kipenzi, Mtu anavyohangaika kutafuta ridhiki mpaka anazulumiwa kuja kulalamika sio kosa.

Binafsi sikupenda jinsi alivyokua anamzodoa yule kaka na nilicomment.

Ila JF kwenye ule uzi kuna watu walifurahi mdada kutolewa siri zake halafu huku wanajifanya kusikitika daah.
Haya maisha yanahitaji unafiki ili kwenda sawa 😂😂😂 ukienda kwa a unampamba ulienda kwa z unampamba pia
 
Maisha ni magumu sana Kipenzi, Mtu anavyohangaika kutafuta ridhiki mpaka anazulumiwa kuja kulalamika sio kosa.

Binafsi sikupenda jinsi alivyokua anamzodoa yule kaka na nilicomment.

Ila JF kwenye ule uzi kuna watu walifurahi mdada kutolewa siri zake halafu huku wanajifanya kusikitika daah.
Unazoom
 
Kabla haujarudi nitumie basi na mie niwe wa mwisho, namba ni moja tu muamala ni mmoja....hata usipotuma na tozo mi sina tatizo
Wee mkongwe mwenzangu huwezi nichuna kirahisi

Hebu badili ID afu unjjaribu. Usisahau kuweka avatar yenye sura nyororo

Usihangaike kuweka chura, maana chura hata mbuzi anayo... tena na mkia kauweka juu tuiangalie tutakavyo.
 
Back
Top Bottom