CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
haa yaani leo leo tu?
Ulitaka lini? Kha hebu usijitoe akili wakati ulikuwa unaingoja hii nafasi. Kubali leo leo
C.C. KakaKiiza
Last edited by a moderator:
haa yaani leo leo tu?
Asante hii ni raha yakuambiwa unapendwa bado ujapata raha yakupendwa utanikimbia kwa kwa mapenzi nitakayokupa mamii love you soo much huu ni msisitizo kwa kidhungu sawa ehee!najisikia raha sana
Nikwali kabisa ndo maana nimeweka hadharani ingekuwa fake ningeweka PM!watu8 huoni kaieka mmu? hii itakuwa ya kweli kweli bana
Bahati ya mwenziyo usiitolee mifanao utaangukia pua!kumbe rahisi hivyo...ngoja na mimi nijaribu atiii :becky:
Mahaba niuwe!Makopa nipoteze
Siujui ndomaana nimeka kimya lengo langu limetimia sasa nafunguka!Mfunguka kakimbia mjadala, mfungukiwa analisongesha. Nshahisi kitu hapa!
Wewe mwaribifu huna lolote ndo maana umekopi kila mahali unafiki umekujaa huna lolote!
Asante kwa kunihakikishia ila kwaleo hizo ndo feeling zangu!haa yaani leo leo tu?
Babuuuu mwache mwenzio...!!!
ulimuota kabla hajakuota
Mimi nimeshakuwa ng'ombe mzee tayari...........
teh, teh, teh, kuna signature ya ndugu mmoja humu ndani inasema hata kama tunatumia avatar na majina feki bado haijitofautishi na maisha yetu halisi, (kama sijakosea). jibu la swali lako nimetumia kigezo cha avatar yake@DEMBA, sasa jiulize nikijibu kwa kutumia avatar yako itakuwaje@kilambalambila
MMU Mpo jamani naomba mniwie radhi najua mpo katika mambo ya kujua hatima ya Bunge Maalumu la Katiba litaishaje ila na Mimi nipo katika mawazo ya kujua mimi nitammliki vipi DEMBA.
Tafadhali naomba uje chini ya umilikiwa mwamvuli mmoja wa kakakiiza.
Niwewe wakuniponya ugonjwa ninaoendelea nao kwa sasa.
Japo humu kuna wapinzani wangu kama hawa
CC Kaizer, Mentor, Asprin, Ben Mugashe, Nicas Mtei, Vin Diesel, watu8 najua ila wapuuze tu sikiliza kilio changu!
Huyu hapa Kaizer waweza toa maoni kwa nafasi yako.
.......mambo muzima weyeee...Na ukiona mtu mzima analia.........jua yamemfika......... DEMBA weeeee..........
.......mambo muzima weyeee...
....mimi pia..Nitakuwaje mzima wakati umeniacha........
Bado nakuwaza ujue.........