demaged sd card

demaged sd card

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
napenda kuwapongeza kwa kazi ya kuelimisha umma
naomba kufahamishwa namna ya kusolve tatizo la sd card demaged maana 8gb yang haisomi kwenye smu naambiwa niireformat ila nkijaribu haikubali kufomatika asanten
 
Ilitokea kwenye cm yangu tecno p5 nilichofanya nilitoa memory card nikaitia kwenye cm nyengine kisha nikabadili jina la memor card niliporudisha kwenye cm yangu ikafanya kazi kma kawa so try ur luck!!
 
asante ngoja n try that maana daah inaniumaaa
 
Back
Top Bottom