Vijana tukiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza wa maisha tunakumbana na mambo mengi sana unless uwe na bahati sana kumpata yule mnae match. Moja kati ya mabinti niliokua na date nao alikua ni mtu wa mizinga kila kukicha mara kodi mara hela ya shopping ukizingatia ni mfanyakazi anaelipwa vizuri tu. Kitabia yuko perfect.Niliamua kumuacha huyu binti maana mizinga ilizidi. Ninachotaka msaada humu je nilifanya the right decision or nilimpoteza mke?
Ulijua umemkomoa lakini ulipoteza MKE. Relationships ni commitment, hakuna mwanamke anayetaka kuwa kwenye uhusiano na mwanaume ambaye hawezi kumpetipeti. Utazunguka kote, unapoteza muda wako tu. Hata ukienda kuoa kijijini lazima huyo mke utamnunulia chupi, pad, viatu, mafuta, utamlisha na kuangalia familia kwa ujumla. Sasa kwa nini aliyesomeshwa na BABA yake usimsaidie kwenye baadhi ya vitu? Mbona K yake unaitaka au unafikiri inajitunza? Kufanya kazi kwa mchumba/mke wako isiwe sababu, MWANAUME ni majukumu.
Heri huyo anaeomba, cz mwanamke mwenye kibri katu hawezi kumuomba mwanaume, atajitahidi na atavumilia shida zake huku akifanya kazi kwa bidii ili apate anachohitaji na katu hato mwomba mwanaume, mwanamke wa dizain hii ni mjeuri na ana dharau sana mf mimi, hapo ulipata mwanamke ambaye ungeweza kumpelekesha kila utakavyo, ila umefanya makosa kumuacha
Vijana tukiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza wa maisha tunakumbana na mambo mengi sana unless uwe na bahati sana kumpata yule mnae match. Moja kati ya mabinti niliokua na date nao alikua ni mtu wa mizinga kila kukicha mara kodi mara hela ya shopping ukizingatia ni mfanyakazi anaelipwa vizuri tu. Kitabia yuko perfect.Niliamua kumuacha huyu binti maana mizinga ilizidi. Ninachotaka msaada humu je nilifanya the right decision or nilimpoteza mke?
wewe undharaui na ni mjeuri?
Pitia hiyo comment tena, utapata jibu
Ulijua umemkomoa lakini ulipoteza MKE. Relationships ni commitment, hakuna mwanamke anayetaka kuwa kwenye uhusiano na mwanaume ambaye hawezi kumpetipeti. Utazunguka kote, unapoteza muda wako tu. Hata ukienda kuoa kijijini lazima huyo mke utamnunulia chupi, pad, viatu, mafuta, utamlisha na kuangalia familia kwa ujumla. Sasa kwa nini aliyesomeshwa na BABA yake usimsaidie kwenye baadhi ya vitu? Mbona K yake unaitaka au unafikiri inajitunza? Kufanya kazi kwa mchumba/mke wako isiwe sababu, MWANAUME ni majukumu.
kawaida sana, tena siyo Mizinga halafu ni matumizi, hujui kwamba wanasimuliana? Anakwambia Baby simu imeharibika,(hapo utafanyaje? anatesiti kama unamjali), Baby Nywele zangu zimefumuka vibaya(ujiongeze mwenyewe),
Tafadhali nipigie......( utafanyaje, anamaanisha hana vocha), Baby kuna top nzuri nimeipenda ni shillingi 50,000 tuu.
sasa wewe kimbia majukumu halafu uone kama hamjawa 6.
Kwani tabia zake nyingine ukiacha hiyo zilikuaje?
Suala la mizinga ni kitu kinachorekebishika sio tabia ya kuzaliwa nayo hiyo (it's not genetic).