Dell laptop kugoma kuwaka na kuchaji

Dell laptop kugoma kuwaka na kuchaji

Irudishie RAM kisha ufungue kwenye Motherboard Uondoe kwa umakini kuna mkanda unashika hiyo Motherboard Uondoe vizuri utaona pia kuna RAM iondoe, rudishia motherboard bila kusahau huo mkanda kisha,Iwashe tena hiyo PC.
Bado imegoma kuwaka. Nilipeleka kwa fundi kaniambie nitafute chaji original wakati inachaji kwenye laptop nyingine. Leo nimejaribu kutumia chaji ya zamani imeonyesha alama ya kuingiza chaji kwa sekunde 3 na kuzima...
 
Mkuu mimi mashine yangu haitunzi moto,

Haitunzi kwa maana ya ukichomeka adaptor inawak unatumia ukichomoa na yenyewe basi kwa kheri,

Hii betri ni mpya nimenunua juzi kati tu ilikuwa inapiga mzigo kama kawaida,
Mashine yako haitunzi moto kwasababu hujatahiriwaa
 
Mimi pia yangu inasumbua kwenye chaji, ni Samsung, niliinunua kwa mtu, ilikua inawaka but ukichomoa adapter kwa heri, yaan ni kama TV, nikanunua betri mpya, mambo ni Yale Yale ya TV au desk top, msaada tafadhali
 
Ondoa battery kisha uchomeke adapter yako. Switch On angalia Power Indicator kama imewaka, kama itawaka fungua PC yako kwa kutumia Screws Driver, Ondoa RAM. Kisha washa uone nini kitatokea. Rudisha mrejesho ili tuone hatua nyingine.
Msaada tafadhali [emoji120]
 
Ondoa battery kisha uchomeke adapter yako. Switch On angalia Power Indicator kama imewaka, kama itawaka fungua PC yako kwa kutumia Screws Driver, Ondoa RAM. Kisha washa uone nini kitatokea. Rudisha mrejesho ili tuone hatua nyingine.
mkuu inaonekana ni expert kwenye haya mambo ya compyuta ??
 
Back
Top Bottom