Dell laptop kugoma kuwaka na kuchaji

Dell laptop kugoma kuwaka na kuchaji

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,449
Reaction score
1,536
Laptop yangu ya dell imeshindwa kuwaka wala kuchaji. Nimejaribu betri na chaji kwenye laptop nyingine zinapiga kazi. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Mimi Lenovo yangu inaandika charging ila masaa yote chaji ipo zero
 
Ondoa battery kisha uchomeke adapter yako. Switch On angalia Power Indicator kama imewaka, kama itawaka fungua PC yako kwa kutumia Screws Driver, Ondoa RAM. Kisha washa uone nini kitatokea. Rudisha mrejesho ili tuone hatua nyingine.
 
Nimejaribu njia hiyo bila mafanikio
 
Irudishie RAM kisha ufungue kwenye Motherboard Uondoe kwa umakini kuna mkanda unashika hiyo Motherboard Uondoe vizuri utaona pia kuna RAM iondoe, rudishia motherboard bila kusahau huo mkanda kisha,Iwashe tena hiyo PC.
 
Nitajaribu mkuu
 
Ondoa battery kisha uchomeke adapter yako. Switch On angalia Power Indicator kama imewaka, kama itawaka fungua PC yako kwa kutumia Screws Driver, Ondoa RAM. Kisha washa uone nini kitatokea. Rudisha mrejesho ili tuone hatua nyingine.

Mkuu mimi mashine yangu haitunzi moto,

Haitunzi kwa maana ya ukichomeka adaptor inawak unatumia ukichomoa na yenyewe basi kwa kheri,

Hii betri ni mpya nimenunua juzi kati tu ilikuwa inapiga mzigo kama kawaida,
 
H
Laptop yangu ya dell imeshindwa kuwaka wala kuchaji. Nimejaribu betri na chaji kwenye laptop nyingine zinapiga kazi. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
Hilo ni tatizo la hardware system ya power ndo shida.lakini kabla ya hapo jaribu kutumia adapter bila Betri
 
Kun
Mkuu mimi mashine yangu haitunzi moto,

Haitunzi kwa maana ya ukichomeka adaptor inawak unatumia ukichomoa na yenyewe basi kwa kheri,

Hii betri ni mpya nimenunua juzi kati tu ilikuwa inapiga mzigo kama kawaida,
Kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo Betri inasumbua lakini jaribu adapter nyingine
 
Mkuu mimi mashine yangu haitunzi moto,

Haitunzi kwa maana ya ukichomeka adaptor inawak unatumia ukichomoa na yenyewe basi kwa kheri,

Hii betri ni mpya nimenunua juzi kati tu ilikuwa inapiga mzigo kama kawaida,
Laptop yako ni aina gani? Matatizo haya ni common sana kwenye dell pc's na mara nyingi watu hudhani ni buttery kumbe ni tatizo la charger hebu tupe jibu kwanza ni aina gani ya mashine
 
Jaribu adapter nyingine ikigoma betri inaweza kuwa na shida
Adapter nyingine nilijaribu, betri nyingine nimejua tatizo bado liko pale pale
Nimepeleka kwa fundi akasema tatzo ni power supply kabadilisha ila bado tu.
 
Back
Top Bottom