Dell Inspiron N5010

Dell Inspiron N5010

Plan Radeem King

Senior Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
198
Reaction score
127
Wakuu hii laptop inashida ya kuwaka

Yaani uki press power button kitaa chake kinawaka but display haiwaki, sometimes inakubali kuwaka fresh tu

Inapogoma kuonyesha kioo hata niki connect vga na monitor nyingine pia hicho kioo hakionyeshi.

Msaada wakuu kwa mwenye kujua tatizo la hii laptop.

Natanguliza shukrani
 
Machine ni ya muda gan mkuu?

Inshort aina hiyo ya machine kuna zenye AMD processor hivo yamkini ikiwa amd inaanza kusizi hivo inaitaji kupigwa Moto kidogo.

Njee ya hapo RAM inaweza sababisha ilo tatizo hivo kama unaweza fungua toa RAM safisha kidogo kwa kufuta na kitambaaa kisafi then replace happy alafu washa pc yako.
 
Boss laptop ipo na 11 yrs
Nimefanya hicho ulichosema but still tatizo lipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom