Dell insipiron n5030

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
768
Wakuu hii machine uki click ie ukifungua my computer halafu ukiclick kwenye cd/dvd rom inafunguka hata kama haina cd.
Mabingwa wa teknolojia msaada!
 

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
164
Wakuu hii machine uki click ie ukifungua my computer halafu ukiclick kwenye cd/dvd rom inafunguka hata kama haina cd.<br />
Mabingwa wa teknolojia msaada!
<br />
<br />
yan ukiclick ikifunguka nn kinaonyesha?! Nielezee fresh ntakusaidia kaka.
 

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,182
515
mkuu nadhani inafunguka ili uweke Disk, hata ya kwangu nimeclick hapa ikafunguka na sio kwamba ni mbovu'.....:brick:
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
3,162
Wakuu hii machine uki click ie ukifungua my computer halafu ukiclick kwenye cd/dvd rom inafunguka hata kama haina cd.
Mabingwa wa teknolojia msaada!
teh teh teeh, ndio kawaida kuwa hivyo mkuu.
Na nimejua baada ya mimi kujaribu sasa hivi na ikafunguka teh teh
 

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
768
cd/dvd rom unaipata ukifungua my computer,sasa u kishafungua my computer halafu ukiclick cd/dvd rom wakati haina cd au dvd inafunguka,hii ni kawaida?maana kuna ndugu zangu hapa jamvini wameniambia ni kawaida!
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,489
9,878
Wakuu hii machine uki click ie ukifungua my computer halafu ukiclick kwenye cd/dvd rom inafunguka hata kama haina cd.
Mabingwa wa teknolojia msaada!

Mkuu naona unatania nini! CD/DVD drive zinaweza kufunguliwa manually au kwa software hili uweke CD/DVD - Manually ni pale unapo bonyeza kifungo kwenye Desk top computer au Laptop hili uingize CD, na software ni pale unapo click mouse/keyboard yako kwenye icon za optical drives hili zifunguke uweke CD/DVD zako. Unaposema kumputa yako ina matatizo wakati inafanya kama inavyo takiwa kufanya ndiyo maana nasema labda unataka kuleta matani tu au kuchekesha watu, I stand to be corrected.
 

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Inaonekana hamjaelewana kiswahili. Kwa nilivyomuelewa mimi ni kwamba akiclick icon ya dvd rom, new window inafunguka na sio hardware inayofunguka. Ndo anauliza ni sahihi.
 

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,182
515
Inaonekana hamjaelewana kiswahili. Kwa nilivyomuelewa mimi ni kwamba akiclick icon ya dvd rom, new window inafunguka na sio hardware inayofunguka. Ndo anauliza ni sahihi.
hiyo new window unayoisema wewe mbona mwenye thread hajaandika hivyo,,au na wewe una shida ya window kufunguka ukiClick cd rom??:brick:
 

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
mie nimemuelewa! Ni lugha tu na kaka yuko sahihi na hii ni kawaida tu mwanzisha thread mara nyingi inakuwa hvyo kwny dvd roms. Kama bdo hamjamuelewa. Anauliza kuwa ajaweka cd ndani ya dvd rom yake lakini akienda kwny my computer akifungua cd drive yake it opens kwa kufunguka new window na sio ina eject vle vle naona ameuliza coz normal cd drives ambazo sio dvd rom kama haujaweka cd ukienda kufungua cd drive kwny my computer inatokea pop up message inakuambia ingza cd kwanza baadala ya kufunguka new window ya iyo drive. So this is normal and it happens kama ni dvd rom. This is what i know
 

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
768
Ahsanteni sana kwa michango yenu,inawezekana ikawa ni sahihi,bt ngoja ni prove kwenye machine nyingine nione kama itafanya kama invyofanya hii mashine!
Ahsanteni sana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom