Dell desktop motherboard inahitajika Mwanza

Dell desktop motherboard inahitajika Mwanza

alpha1

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
246
Reaction score
133
Heshima kwenu GTs.
Nahitaji motherboard ya Dell Optiplex Desktop DCCY(Small Form Factor) au desktop System Unit
attachment.php

au
Dell GX520 motheboad.
Mwenye nayo tuwasiliane
 
Mwenye motherboard au system unit ya hiyo computer hapo juu tuwasiliane tupange bei.
 
hio pc specs zake sikushauri hata kidogo uinunulie motherboard. kwanini ustafute desktop mpya?
 
Mkuu, nataka tu kutengeneza kwa gharama ndogo pc ya mtu mmoja aliyoazima dogo ikaharibika.
 
Mkuu, nataka tu kutengeneza kwa gharama ndogo pc ya mtu mmoja aliyoazima dogo ikaharibika.

labda upate ya mtu ambayo pc imeharibika na motherboard bado nzima, ila bei za motherboard ni kuanzia 100,000
 
Back
Top Bottom