Wapi naweza kupata motherboard za dell desktop computers

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,430
2,000
Habar za leo wana jamii forum naomba mnielekeze wapi naweza kupata motherboard ya dell desktop computer

Mashine ni optiplex 790 Mino tower

Na

Optiplex 3020
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
836
1,000
Kkoo mtaa wa Agrey kuna maduka mengi ya PC yanayouza motherboards za kila aina.

Muulize huyu jamaa anaitwa Alex wanaduka la PC huko kkoo wanauza na desktop motherboards. +255 744 983 019

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,489
2,000
Kukuta mpya dukani ngumu nenda machinga complex ama likoma na aggrey maeneo hayo utakuta desktop mbovu za kutosha uchomoe motherboard.

Na sio lazima motherboard iwe hiyo hiyo, Hakikisha tu cpu na powersupply vinaingiliana basi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom