Traveller TM
Senior Member
- May 6, 2024
- 129
- 226
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
Hili ndilo swali la msingi akijibu nishitueNi iphone ngapi
Naunga mkono hojaHili ndilo swali la msingi akijibu nishitue
Ni Iphone 14 plain mkuuNi iphone ngapi
Sema tutakulinda usipigwe ban .Hahaha 🤣 ungekuwa chizi ningesema lkn naogopa
Walidhani ni iphone 6 😂😂😂😂😀 Wakuu wakaukimbia uzi