Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
yule mwenye wazo lilea lionekana mjinga kipindi kile ila sijui amekimbilia wapi tena,?Ukifikiria kwa kina sana naweza ungana na wale jamaa aliyewahi kusema kuwa anaweza Kibadili kihifadhi kumbukumbu na kuweza kuhifadhi mafaili bila ukomo.
Kwa kuwa mafaili yaliyo futwa huwa tu yameondolewa ktk ukurasa wa mbele wa Tarakirishi yako. Kwa nini tusiweze kuhifadhi mafaili hayo badala ya kuyaficha?
Ni wazo langu tu