Degree ya uchawi yaanza kutolewa Afrika Kusini

Degree ya uchawi yaanza kutolewa Afrika Kusini

Mukwano jebaleko

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
402
Reaction score
214
194f052f04e26e41d000917c4e15569a.jpg
 
Ningeweza kusoma hii ningefurahi sana,hakuna raha kama niko Mwanza hapa afu naamua tu bila pesa nasepa Mbeya au Dar na kurudi kimya kimya!
 
Hii tamu,sijui n vigezo gan Wanatumia kujiunga.hiyo course??

Hv huwez kutumia uchawi.kung`oa visiki kwenye shamba??
 
Hii tamu,sijui n vigezo gan Wanatumia kujiunga.hiyo course??

Hv huwez kutumia uchawi.kung`oa visiki kwenye shamba??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hawa jamaa wanaweza fanya polite

Tuwasubiri mshana Jr na mzizi mkavu[emoji87]
 
Mshana itakuwa alikuwa na sap so kaenda kuclear hapo.
 
Hakika aisee...sijui ukiwa mchawi lazima ufanye mambo ya ajabu

Nataman kuisomea hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama ni IT watu wanasema ni uchawi wa kizungu kwann uchawi usiwe sayansi ya Afrika na ukatumika kufanya mambo mazuri na ya maendeleo yasiyo na madhara kwa watu?
 
Back
Top Bottom